TAJIRI WA FACEBOOK AWASHIRIKISHA WAHITIMU WA CHUO KIKUU USHAURI NA KUWATIA MOYO WAJASIRIAMALI
Baada ya kuacha masomo aliyekua mwanafunzi wa chuo kikuu cha Havard ,(Mark Zuckerberg) karudi chuoni hapo alihamisi hii kuwapa mahusia wanafunzia hao katika mahafali.,Mwanafunzi huyo aliyejazwa na wito wa kuunganisha dunia aliwaambia kila mtu hapa duniani anayo lengo aliyokuja kuitimiza.
Katika hotuba
yake alisema kwamba kaguswa juu ya mabadiliko ya hali ya hewa, kujitolea, elimu na
kipato cha msingi.
Mark Zuckerberg alisema pia Facebook ina mpango wakuongeza
wafanya kazi zaidi ya 3,000 kufuatilia na kuondoa maudhui yaliyo kinyume na
masharti ya facebook.
Zuckerberg mwenye umri wa miaka 33 alizungumza kama mwanachama mmoja wapo wa millennial generation ya wahitimu wa
Harvard.Aliongea juu ya kujenga miradi ya maana na kutafuta mawazo ya maana,
na kusema hakuna kitu kizuri kama furaha
wakati wa hamasa.
Zuckerberg aliwaomba wahitimu hao wa kusaidia katika kuacha mabadiliko ya tabia nchi
kabla ya kuharibu sayari yetu na kupata mamilioni
ya watu wanaotumia na kuzalisha umeme wa
jua. Aliahidi kusaidia kuongeza uwezekano wa kusoma
na kuponya magonjwa, kujifunza zaidi juu ya genome za binadamu, na kupiga kura mtandaoni.
"Tanaweza kurekebisha hili,"
alisema.
Matatizo mengine ni
pamoja na mali kukosekana kwa usawa
Alisema,Kuna jambo naweza sema baya katika mfumo wetu wakati mimi ninaweza kuondoka hapa na kufanya mabilioni ya dola katiaka miaka 10,huku mamilioni ya wanafunzi hawawezi hata kumudu kulipa madeni yao ya shule,achilia mbali kuanza biashara.
Zuckerberg na mkewe Priscilla Chan waliahidi kutoa asilimia 99 ya hisa zao katika Facebook katika
kipindi cha maisha yao. Mwishoni mwa mwaka 2015,wakati akifanya ahad hiyoi,
hisa zilikuwa na thamani ya $ 45 bilioni.
Alisema kuwa watu wanapaswa kuchunguza mawazo yao na kutazama kama mapato sahihi ya msingi na kuhakikisha
kuwa kila mtu anajitoa kujaribu mawazo mapya.
Jambo hili lingewahepushia wanauchumi wasiwasi kuhusu wakati ujao na idadi kubwa ya wafanyakazi wasio
na ajira.
Zuckerberg aliongelea juu ya kujenga jumuiya, na juhudi zake katika kupanua Facebook kama kuunganisha
jamii
moja kwa wakati, na kuweka jambo hilo hadi siku moja sisi kuungana dunia nzima.
Zuckerberg alivumbua Facebook katika bweni la chuo cha Harvad mwaka 2004, kabla ya kuacha shule na kuendesha tovut hiyo. Alifanya mzaha, "Kama mimi nikipata
leo hotuba hii , itakuwa mara ya kwanza
mimi kwa kweli kukamalisha kitu hapa katika chuo hiki cha Harvard. shule alimpa shahada ya heshima ya
Alhamisi, kumjulisha kama "Dr. Mark Zuckerberg.
No comments:
Post a Comment