Thursday, May 25, 2017

FBI kumchunguza mkwe wa Dornald Trump

FBI kumchunguza mkwe wa Dornald Trump

 

Kushner ni  mume wa mtoto wakike wa Trump,vyombo vya habari  nchini Marekani vimeripoti kwamba mkwe wa raisi huyo anachunguzwa na shirika la uchunguzi FBI juu ya tuhuma Urusi kuingilia uchaguzi wa nchi hiyo mwaka jana.

No comments:

Post a Comment

NJIA ZITAKAZO KUJENGEA MSINGI MZURI WA MALI KATIKA UMRI WA 20+

Tabia zitakazo kusaidia kutumia na kutunza fedha kwa umakini,tabia hizi zitakufanya upate msingi bora utakapo fikia umri mkubw...