Friday, May 26, 2017

JE WEWE NI MJASIRIAMALI?

JE WEWE NI MJASIRIAMALI?.sehemu ya1.






Haya ni maswali ya kuijiuliza kabla ya kuchukua uamuzi wa kujiingiza katika uwanja huu wa ujasiriamali ungana nami..

#1:Je wewe ni mwanzilishi?

Ndio au hapana ?

Kama wewe unafikiria wazo nakulifanyia kazi au kama unasaidiwa wazo na wewe kulifanyia kazi wewe unaweza kuwa mjasiriamali.kama unafuata kuliko kujiongoza wewe si mjasiriamali

#2:Hunafikiria nini kuhusu kuhatarisha(risk).

Ndio au hapana?

 Je unaogopa kuhatarisha mali?, kama unaogopa wewe si mjasiriamali.Ujasiriamali ni kupata na kukosa ,lazima mtu kua mjasiri kama neno lenyewe linavyonena mjasiri wa mali.

#3:Wewe ni kiongozi?
Ndio au hapana? 
 Kama ndio basi wewe ni mjasiriamali unaweza jiongoza peke ako.

 #4:Je wewe na familia yako mnaweza kuishi bila kipato cha desturi/ukawaida(regular paycheck)?.

Ndio au hapana?
Kama ndio basi wewe mjasiamali kama hapana huwezi kuwa mjasiriamali.

 #5:Je unaweza kumwachisha kazi mfanyakazi wako?

 Ndio au hapana?
Kama ndio unaweza kua mjasiriamali na kumiliki wafanyakazi,kama hapana huwezi kua mjasiriamali.

#6:Uko tayari kufanya kazi masaa zaidi ya 60 kwa wiki?

 Ndio au hapana?
Kama ndio  basi unaweza kua mjasiriamali,kama huwezi wewe si mjasiamali.

 #7:Unajiamini?

 Ndio au hapana?

Kama ndio wewe na mjasiriamali,kama hapana wewe si mjasiriamali.

 #8:Unaweza ishi na uhakika?
Ndio au hapana?
Kama ndio waweza kua mjasiamali,kama hapana huwezi kwa kua utahitaji kuwa na uhakika na hivyo kuogopa kujaribu.

#9:Je waweza kungangania jambo pale tu unapololitia  maanani?.
Ndio au hapana?
 Kama ndio basi waweza kufanya jambo kwa kulikusudia mpaka litimie waweza kua mjasiriamali.

#10:Je wewe ni mbunifu?.

Ndio au hapana?
Kama ndio basi wewe ni mjasiriamali kwa kuwa ujasiria,ali wahitaji ubunifu kila siku,kama hapana huwezi kua mjasiria,ali.
Itaendelea,,,,,,,

 

 

 

 

 

 

 


 






 

No comments:

Post a Comment

NJIA ZITAKAZO KUJENGEA MSINGI MZURI WA MALI KATIKA UMRI WA 20+

Tabia zitakazo kusaidia kutumia na kutunza fedha kwa umakini,tabia hizi zitakufanya upate msingi bora utakapo fikia umri mkubw...