Friday, May 26, 2017

MAMBO YANAYOFANYWA NA WATU WENYE MAFANIKO KABLA YA KIFUNGUA KINYWA

MAMBO YANAYOFANYWA NA WATU WENYE MAFANIKO KABLA YA KIFUNGUA KINYWA.   

 

     Huamka mapema.

Watu wenye mafanikio huamka mapema kabla ya mtu yeyote kuamka.Weengim huamka saa 11 asubuhi.

     Hufanya mazoezi.

Hii huwasaidia kupata afya njema na muda wa kutafakari mipango mipya.

     Husafisha mwili.

Hii husaidia kufanya mwili mchangamfu tena mara nyingi hutumia maji ya baridi.Huandika fahari yao.Pale wanapotambua thamani na fahari zao huwasaidia kupata furaha na amani .

   Hutafakari.

Pale wanapotafakari hupata mawazo mapya na mbinu mbadala za kufikia malengo yao.

   Huweka mikakati.

Huweka mikakati madhubuti kufikia malengo uyao.Ili kufikia malengo nilazima kuweka mikakati.

   Hukabili jukumu gumu kwanza.

Ili kuwa na hari ya kufanya kazi anza na lile gumu kwanza afu yafatwe na yale marahisi.

   Kifungua kinywa.

Ili kua na afya njema lazima kupata kifungua kinywa kizuri chenye afyaHayo ndo mambo ambayo hufanywa na watu wenye mafanikio zaidi.Endelea kua nami kwenye makala zifuatazo

No comments:

Post a Comment

NJIA ZITAKAZO KUJENGEA MSINGI MZURI WA MALI KATIKA UMRI WA 20+

Tabia zitakazo kusaidia kutumia na kutunza fedha kwa umakini,tabia hizi zitakufanya upate msingi bora utakapo fikia umri mkubw...