UNADHANI WEWE NI NANI?
KUWA ULIVYO NI MUHIMU KULIKO KUWA WATU WANAVYOTEGEMEA UWE
JE UNAISHI KWASABABU YA KUA
MWALIMU?
JE UNAISHI KWAAJILI YA
KUFANYA BIASHARA YA MATANGAZO?
JE UNAISHI KWASABABU YA KUWA
MUONGEAJI WA HADHARA?
JE UNAISHI KWA AJILI KUA
MWANDISHI MWENYE MAFANIKIO?
JE UKO KWA AJILIMYA KUA MUUGUZI?
JE UNAISHI KWA AJILI YA KUWA
MWALIMU?
JE UNAISHI KWA AJILI GANI?
JICHUNGUZE TAMBUA KIPAWA CHAKO,KUSUDI LAKO KUISHI
"Kipawa ni kama silaha aliyopewa mwanadamu kumwezesha kuishi katika mazingira yanayomzunguka",Kipawa humsaidia mtu binafsi pia huwasaidia watu wengine.
Kila mwanadamu anayeishi chini ya mbingu hii anacho kipawa chake alizaliwa nacho kufanikiwa katika dunia,ili ,tu kufanya jambo kubwa katika maisha nilazima kutumia kipawa chake vyema,kama hukifahamu kipawa chako ni rahisi kufanikiwa katika jambo hilo hunalokusudia kwakua ndo wajibu wako katika dunia.
Mwanadamu yeyote ni bora na wamafanikio kama atakitambua kipawa chake na kukitumia,hakuna kipawa kidogo na kikubwa vyote ni sawa tatizo huja katika juhudi za kukiendeleza hicho kipawa.
Mwanadamu yeyote ni bora na wamafanikio kama atakitambua kipawa chake na kukitumia,hakuna kipawa kidogo na kikubwa vyote ni sawa tatizo huja katika juhudi za kukiendeleza hicho kipawa.
Katika kazi ngumu huwa ni kujaribu kufanya jambo.Nakufanya jambo huletwa na mawazo sahihi,je kuwaza mawazo chanya ni jambo rahisi? "nadhani hapana" watu wengi hukwepa kuwaza fikra sahihi kwa mfano mtu huangalia muvie siku nzima je si njia ya kukwepa kufikiria mwazo chanya?.
Ndugu mpenzi msomaji nikushauri usikate tamaa katika kuendeleza kipawa chako na usikidharau jitahidi kulifanya kusudila lako kuishi,na pia kama bado hujakitambua kipawa chako jaribu kutafakari kila unapopata muda utagundua kusudi lako siku moja usikate tamaa,nikuombe endelea kusoma makala hizi Mungu akubariki sana

No comments:
Post a Comment